Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado mapema sanaCIV wakipenya hapa sijui navenye wapo pungufu!!
Hakikasasa Mali ajiandae....hizi nafasi sio cha kuchezea
Ana balaaRefa anatembeza kadi kwelikweli
Wapo pungufu pia ngoja tuoneNa bado mapema sana
PoleTanesco nmekosa mechi ya simba saiv nakosa afcon fresh tu
Kabisa.Mali wawe makini na huyu refa. Atawanyoosha. Wacheze kwa akili sana.
Makolokolo wajifunze kuwa mbeleko huwa ina mwisho maana hata ladha halisi ya mpira hupotea kabisa.Hawa wenyeji ni wa kawaida sana.