Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu utashangaa unamkuta huko Fainali wakikipiga vs Nigeria.Hawa wenyeji walipitia mlango wa Nyuma hadi hapo lazima wafungashwe
Bahati haikuwa yake, japo kwa dakika hizi 20 hawa Mali wameonesha kuwa kuna kitu wanakitaka.Si bora hiyo penatly angeipiga Diarra jamani?
Dah
Daah, Sisi sijui hata utarudi LiniUmeme ndio umerudi
Unatafuta Presha na KisukariMali wanakabia juu ni balaa laki yangu sijui kama itapona.wenyeji wamelemewa