Sijui wanapataga raha gani wakati nyuso zinaonyesha jua limeshakuchwa.Waafrika ni noma
Au kama vipi karibu Nigeria chama la wana au sogelea taratibu Morocco 🤣😁Hahahaaaa. Itakaposhinda nitaishangilia Mkuu. 🤣🤣
Hahahaaa. Nigeria ilikuwa enzi zile za kina Kanu Mkuu.Au kama vipi karibu Nigeria chama la wana au sogelea taratibu Morocco 🤣😁
Hivi hawa Morocco si ndio walisemaga sio wa Afrika? 😀Au kama vipi karibu Nigeria chama la wana au sogelea taratibu Morocco 🤣😁
Ya mwaka huu ni kalii sanaHahahaaa. Nigeria ilikuwa enzi zile za kina Kanu Mkuu.
Au ya mwaka huu ina maajabu?
Ni ulevi tu wa mafanikioHivi hawa Morocco si ndio walisemaga sio wa Afrika? 😀
Au ilikuwa ulevi wa mafanikio kule World Cup?
Kumbe! Hivi Imeingia Afcon na points ngapi Mkuu?Ya mwaka huu ni kalii sana
Kwa kweeli.Ni ulevi tu wa mafanikio
Tanzania tunamaliza na point 2, Bingwa atakuwa Egypt,