Uyu dogo shwaini Sana na mwenzie Bebe[emoji4]Huyu namba 9 wa Cape Verde ndio amesababisha mpaka mda huu tuwe Mbele ya tv
Mpk kaka zao mweeehCape verde adi wazee wazuri[emoji2]
Huyu refa ni mkongo kama congo ikienda fainali hatoweza kupangwa katika hyo mechiHuyu refa apewe fainali. Sijajua kwa mechi nyingine. Ila hii ya Cape Verde vs South ameitendea haki sana.