Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Unakosa kosa kama kolo Muniani 🤣🤣Kwa mpira huu wa France ya Africa Hao South wanakaa vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosa kosa kama kolo Muniani 🤣🤣Kwa mpira huu wa France ya Africa Hao South wanakaa vizuri sana
Yan kawakosesha kombe kabisaa yan👐Ile mashabiki walimuita nyani ile kisa alivyokosa pale😁😂🤣
Kwenye penalty watajuta.Verde sijui ni bahati ama hawana umakini. Game yao hii.
Tutaenda course mkuupagumu hapo
ExactlyYan kawakosesha kombe kabisaa yan👐
Sio huyo yule wa Man united ya Fergie alikua raia wa Urenoawa jamaa vipi siwafungane afu huyu Bebe sikawahi cheza Man untd
Hatunaga wasiwasi mkuu[emoji4]Hamtoboi leo mkuu
Akija south kwetu ni Mama joy tuu🤣Cameraman kuna pisi anaimulika kichizi
Hii pisi ya verde ina helen kubwa km bangiri na skini nyeupe na rasta kaielewa nn
Sawaaa 😃Hatunaga wasiwasi mkuu[emoji4]
Ha ha ha....[emoji1787]Akija south kwetu ni Mama joy tuu[emoji1787]
inawezekana ila mbona wanafanana sanaSio huyo yule wa Man united ya Fergie alikua raia wa Ureno
Shida dogo anataka umaarufu kwa mademu wakali pale jukwaani.Hiki kitoto Cha Verde kinaitwa Gilson jezi no 9 ni kipuuzi sana
Sio huyo yule wa Man united ya Fergie alikua raia wa Ureno
Amezidi paparaShida dogo anataka umaarufu kwa mademu wakali pale jukwaani.
inawezekana ila mbona wanafanana sana
Hajifunzi kwa Simon AdignraShida dogo anataka umaarufu kwa mademu wakali pale jukwaani.
Shida dogo anataka umaarufu kwa mademu wakali pale jukwaani.