whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
naona huyu kipa wa amapiano ameamua kula ndizi kwa juisi kabisa ili ashibe vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😂😁😁Iv Scout ya Man U ilikuwa wapi kutuletea Onana kumuacha Williams 😃
Hawajitumi wanacheza kistar huoni wakiwa na mpira wanakimbia kisharo
wana mademu wakali kinoma aseCape verde adi wazee wazuri😃
😂🤣😁Cape verde adi wazee wazuri😃
Tim yangu ni shida sana🤣😂😁😁
Kuna bibi kaonyeshwa hapo ni 🔥
Pamoja na kukaba nimeona mabeki wa SA akipigwa matobo ya kiudharirishaji kabisa 😂Wanapita kwenye njia South wanakaba kwenye njia... Mpira wa academy kabisa huu huwezi kuta Ghana wanacheza hivi ata siku moja😄
Jamaa linajua kusave na miguuni liko vizuri Yani linapga pasi Hadi nguo mbichi😛Iv Scout ya Man U ilikuwa wapi kutuletea Onana kumuacha Williams 😃
Acha tuu unaangalia anvyocheza ukimuwaza onana mwili unasisimka kabisaJamaa linajua kusave na miguuni liko vizuri Yani linapga pasi Hadi nguo mbichi😛
Onana taka taka
Natamani nikakapige fimbuHaka Ka bwana Mdogo ndio kanataka Kutulaza Asubuhi, Chance ya Tatu hii
Aliyepigwa ni Mudau nadhaniPamoja na kukaba nimeona mabeki wa SA akipigwa matobo ya kiudharirishaji kabisa 😂
eti mwili unasisimka😀Acha tuu unaangalia anvyocheza ukimuwaza onana mwili unasisimka kabisa