Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Wamezidiwa.Hawajitumi wanacheza kistar huoni wakiwa na mpira wanakimbia kisharo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamezidiwa.Hawajitumi wanacheza kistar huoni wakiwa na mpira wanakimbia kisharo
Upitie na sao tome principles ni ka nchi chenye mademu wakali sana hiyo ni boda ya kupelekea kabo vedeKaka asee nitaenda huko ngoja nipate visa
Kaka si nitakula nauli sasa 😄😄Upitie na sao tome principles ni ka nchi chenye mademu wakali sana hiyo ni boda ya kupelekea kabo vede
Pipa na Mfuniko, Hawa wangekutana na Akina Sisi Tunge aibika WalahiSouth wanajua kukaba..
shida ya leo ni kwamba mipira ya academy imekutana
Wakipita hapa hawa cape verde siwaoni Nigeria finalHawa cape verde bila kujali matokeo ya leo wamekuwa timu bora sana katika mashindano.
Wanapita kwenye njia South wanakaba kwenye njia... Mpira wa academy kabisa huu huwezi kuta Ghana wanacheza hivi ata siku moja😄Pipa na Mfuniko, Hawa wangekutana na Akina Sisi Tunge aibika Walahi
Wanacheza RugbyHivi wazungu wa South waliacha kucheza mpira?
Yaani sijui wanafeli wapiCape verde mbona mnatuchelewesha game yetu kabisa hii daah
Hapana bei sio kubwa saanaKaka si nitakula nauli sasa 😄😄
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pipa na Mfuniko, Hawa wangekutana na Akina Sisi Tunge aibika Walahi
Ngoma inaenda 120 hii na wakienda matuta CPV watatoka maana huyu Williams kwenye matuta ni [emoji91]