2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Huyu Williams ndio maana halisi ya Kipa hakariri uelekeo wa kuruka, anategea kwanza kuona mpira umepigwa uelekeo gani ndio anaruka, tena hata ile moja waliyopata washukuru tu alichelewa kuufikia mpira ila tayari alikuwa ameshapatia uelekeo
Jamaa ni 🔥
 
Hahahahahahah mkuu Nmecheka Sana Daaah Hivi kweli Rhulani yupo jukwaani kuisaidia SA?
Yaaap siku ya match na morocco camera zilimkamata na walkie talkie akiongea na kocha uwanjan akimpa maelekezo si unajua wachezaji wengi pale wa Mamelod ? Alivyoona mavideo yanamchukua akaenda kujificha, Tafuta hiyo video utaiona inatembea X huko aka twita, yan ndio utajua wako serious kiasi gani , sisi tumeyachukua yale majinga kazi kusema “ukiipata pigia kwa mbali” sasa anaipataje bwege wewe ? Asipoipata ? Haya akipooteza je anaipataje ? Utasikia linasema “kaba kwa nguvu “ yan acha kabisa mkuu nlitukana sana siku zile majinga yale
 
IMG_20240204_023728.jpg
 
Back
Top Bottom