Ukienda YouTube ni play list kabisaashukrani kijana.ngoja nimalizie bando hapa
Jamaa ni 🔥Huyu Williams ndio maana halisi ya Kipa hakariri uelekeo wa kuruka, anategea kwanza kuona mpira umepigwa uelekeo gani ndio anaruka, tena hata ile moja waliyopata washukuru tu alichelewa kuufikia mpira ila tayari alikuwa ameshapatia uelekeo
Yaaap siku ya match na morocco camera zilimkamata na walkie talkie akiongea na kocha uwanjan akimpa maelekezo si unajua wachezaji wengi pale wa Mamelod ? Alivyoona mavideo yanamchukua akaenda kujificha, Tafuta hiyo video utaiona inatembea X huko aka twita, yan ndio utajua wako serious kiasi gani , sisi tumeyachukua yale majinga kazi kusema “ukiipata pigia kwa mbali” sasa anaipataje bwege wewe ? Asipoipata ? Haya akipooteza je anaipataje ? Utasikia linasema “kaba kwa nguvu “ yan acha kabisa mkuu nlitukana sana siku zile majinga yaleHahahahahahah mkuu Nmecheka Sana Daaah Hivi kweli Rhulani yupo jukwaani kuisaidia SA?
Hayasemi ukipooteza unaipataje yanaanza na kuipata kwanza jinga kabisa majitu hayaeti..😂😂 msuva ukiipata piga kwa mbali
Sure kijana anajua nini anafanyaJamaa ni 🔥
Labda ila kina mwinjaku na sijui baba nani hawaruusiwi hata kufika uwanja wa kinesi kuangalia mpira sababu hawajui kitu chochote aiseesio kweli, hiyo video ni mechi ya zamani ya mamelodi yeye akiwa amepewa redcard.
😂😂😂Watu wamelala ghafla🤣cape verde kapita na wengi leo
Hakika.Nigeria washukuru kukutana na South Africa na sio Cape Verde
Hao watu wa kisiwani wanapiga boli aisee sema penati hazina mwenyewe
Nilikua nimewaka sorrwewe utakuwa umevurugwa sio bure
Ndio maana mimi niliacha kusoma ujinga wakeKwa mujibu wa Laban og, pacome aliitwa kwenye team ya taifa ila alikataa kwenda.
Sasa hapo ufala ni wa nani?
Kitendawili:
Mchezaji pekee kutoka NBC PL kucheza nusu fainali mashindano ya mwaka huu ni nani? 🤣🤣
Cc: OKW BOBAN SUNZU
Na yule genilson amekosa baontatu za wazi yeye na ,kipa na Mungu wake daahhhHawa Cape Verde Hakuta kua na Wakumlaumu mwenzake, wote wamekosa Penalt
Hahaaaaa[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naludia tena hamuwezi kushinda kote Kwenye Pisi tuna mama joy kwenye penati tuna williams
Mnoo nyie nyau nyie subirieni mama joy tu sasa hiviiiHapo umefurahi