Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #10,681
Watalia sana Hawa wakitoka
Juzi nilikuambia wanapita Hawa ,ukabisha ,Leo naona upande waoTeam mama Joy mpo?
Kama uliangalia game utakubaliana nae Cape Verde wana mpira wale watotoJuzi nilikuambia wanapita Hawa ,ukabisha ,Leo naona upande wao
Inakera sio kidogoooo!Yan best loser kusumbua vinara wa makundi inakera sana😃😃
Una bandle tukupe website ukastreamVipi boli lishaanza huko????? dahh
Ya kale yote yamepita, leo nipo upande wa mama Joy 😂Juzi nilikuambia wanapita Hawa ,ukabisha ,Leo naona upande wao
Muda huu Senegal yako ingekuwepo😬Inakera sio kidogoooo!
Eendiwoo ninalo gimme link please!Una bandle tukupe website ukastream
Uangalie battle la Afrobeats na Amapiano
Acha tu yaniMuda huu Senegal yako ingekuwepo😬
Boli limeanza kitambo, hivi huko kwako hamna umeme?Vipi boli lishaanza huko????? dahh