Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kila la kheri Mzansi. Hata mpira mnapiga mzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe iwe hivyo🔥Hahahaa. Pole sana Mkuu.
Umeonaee. Osimhen na Lookman hawanaga masihara pale mbele.
Ila mnaweza enda final Mkuu mwishowe mkachukua ndoo. 😀
Uzuri wa mpira hauchezwi chumbani, tusubiri tuone.Hao ndio mabingwa wenyewe wa Afcon 2023, Congo DR
Achana na mwenyeji safari yake inafia hapa leo karibu kwa Inonga na Mbemba
InshaAllah.Tuombe iwe hivyo🔥
Yeyote nani na nani Mkuu? 😂😂😂Afcon waliona siwezi kwenda fainali na machama yangu yote wakaamua nibaki na moja😃
Anyway yoyote apite tuu baadae
Na wamesepa naoMchawi umeme
Leo nipo kwa Wasauzi na Wacongo
Si Nigeria na South 😃😃😃Yeyote nani na nani Mkuu? 😂😂😂
Wanasemaga "it's not over until it's over" hivyo subiri ninety minutes au 120 minutes au penalties ndo zitaongea Mkuu usikate tamaa mapema hivvi. 😀