2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

IMG_9789.jpeg
 
Hahahaaa. Bado hujasema Mkuu.

Sisi tusio na timu yeyote apitaye na apite. 😂😂

Cc. Rafiki Mahondaw.
Yan wamejua kuifanya siku yangu kuwa ngumu😄 Cape verde walimtoa south kwakuwa walikuwa hawana mfungaji...😃 Ila Nigeria hii strikers wake hawezi kukuacha kwenye nafasi hata moja wakipata

Advantage nyingine ya Bafanabafana nadhani ni kujituma uwanjani sema tuone nani atapita... Baada ya kipenga cha mwisho
 
Yan wamejua kuifanya siku yangu kuwa ngumu😄
Hahahaa. Pole sana Mkuu.
Cape verde walimtoa south kwakuwa walikuwa hawana mfungaji...😃 Ila Nigeria hii strikers wake hawezi kukuacha kwenye nafasi hata moja wakipata

Advantage nyingine ya Bafanabafana nadhani ni kujituma uwanjani sema tuone nani atapita... Baada ya kipenga cha mwisho
Umeonaee. Osimhen na Lookman hawanaga masihara pale mbele.

Ila mnaweza enda final Mkuu mwishowe mkachukua ndoo. 😀
 
Klabu ya Chippa united ya South Africa wameikana kiana timu yao taifa leo na wanaamua kuiunga mkono Nigeria ambayo anadakia golikipa wao namba moja, Stanley Nwabali

Chippa united wanaitakia kila la heri timu ya taifa ya Nigeria

Ikumbukwe Chippa united hawana mchezaji yoyote kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini
Screenshot_20240207-160255_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom