2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ngoja nijifanye kama naenda kulala ili tanesco warudishe umeme make Siku nikiwa Nataka kuangalia muvi Zangu wakakata umeme nikienda kulala tu hapohapo wanarudisha ila nakua nshapata uvivu wa kuamka tena[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Huu naona haurudi leo sijui hata game ya Congo kama tutaiona
 
Back
Top Bottom