Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Hata mm sikuielewa hii maana Nigeria walifunga gafla nakuta tuta na kule goli limefutwaSijaelewa. Au nasinzia?
Tulia Dawa ikuingie....This is BS guys
Nigeria wakati wamepora mpira walifanya foul kwenye penati box yao Na Ndio maana goli limefutwa ikawa penati kwa South simple like that
Tukutane fainali kaka hii unashinda hiiAya tuendelee tulipoishia🤣🤣🤣
Beki wa Nigeria alimpiga mtu mtamaHata mm sikuielewa hii maana Nigeria walifunga gafla nakuta tuta na kule goli limefutwa
Mpira una matokeo ya kikatili sanaMpr una ukatili Sana.
Ushangae Nigeria akatolewa kwa masihara Aya.
Dadeki[emoji1787]Goli limefutwa na South wamepewa penati
Kabla Nigeria hawajafunga Percy alikuwa amechezewa faulo kwa hiyo goal likafutwa tukapewa penatiHata mm sikuielewa hii maana Nigeria walifunga gafla nakuta tuta na kule goli limefutwa
Huu naona haurudi leo sijui hata game ya Congo kama tutaionaNgoja nijifanye kama naenda kulala ili tanesco warudishe umeme make Siku nikiwa Nataka kuangalia muvi Zangu wakakata umeme nikienda kulala tu hapohapo wanarudisha ila nakua nshapata uvivu wa kuamka tena[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Sijaelewa. Au nasinzia?
Pale refa si alienda kuangalia goli la Nigeria? Hiyo penati iliibukia wapi? Mbona hakufuta kwanza goli la Nigeria?
Kabla hawajafunga ilitakiwa South wapige penati kwa hiyo goal lao limefutwaNaona wamefuta goli la pili
Tena Sana.Mpira una matokeo ya kikatili sana
Ni upumbavu sana, bora goli lingekuwa halijafungwa.Decision nyingine hizi ni unfair. Kwa nin haikuwa called mapema. Unless wawe wanaacha baadhi ya matukio yanabakia kama yalivyo hasa kama hili la leo.