Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Hata mm sikuielewa hii maana Nigeria walifunga gafla nakuta tuta na kule goli limefutwa
Marefa wa ki Africa Ndio Maana kwenye kombe la Dunia 2022 wengi walikua wasaidizi Sababu ya upumbavu wao kama huuDecision nyingine hizi ni unfair. Kwa nin haikuwa called mapema. Unless wawe wanaacha baadhi ya matukio yanabakia kama yalivyo hasa kama hili la leo.
Nigeria byebyeeee..... kipa wa South anawasubiri kwenye penati,mtajua kua ni jini au mtu.
Kaka acha mpira dakika 90Tukutane fainali kaka hii unashinda hii
Ndio unaamka?Goalllll
Kwa hyo unataka jumba bovu limuangukie Refa 😃Decision nyingine hizi ni unfair. Kwa nin haikuwa called mapema. Unless wawe wanaacha baadhi ya matukio yanabakia kama yalivyo hasa kama hili la leo.
KheeeeeGoalllll
Ujaelewa nn? Before ya bao la naija kulifantika faulo kwahyo goli linakataliwa na faulo iliyofanyika inabdi ipigwe ndio kilichotokeaHata mm sikuielewa hii maana Nigeria walifunga gafla nakuta tuta na kule goli limefutwa
Ngj Twende 30 upate walau kitu mkuu.nimekosa uhondo leo
Soma matumizi ya VAR jombaaDecision nyingine hizi ni unfair. Kwa nin haikuwa called mapema. Unless wawe wanaacha baadhi ya matukio yanabakia kama yalivyo hasa kama hili la leo.