Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #11,001
Umeme ndio umerudi😁😁Ndio unaamka?
Leo Magkopa anawasha moto ajabu hii game nyingi nilizoangalia za sauz jamaa anakuwa amepoa sanaMakgopa leo ndo kabeba uhai wetu
Tunawauwa leoMamaaaaaaaaa
YahNgj Twende 30 upate walau kitu mkuu.
Naunga Mkono hoja, Walikua washamaliza Mechi hiiBafana bafana umakini zero kabisa kwenye box
Kazi ipo leoKheeeee
NIGERIA wamefunga goli wakati South Africa wamechezewa FauloHata Mimi sijaelewa kwa kweli
wew lala tuTanesco wamedinda kurudishwa bana au mpaka nisinzie [emoji1783][emoji1783]
Dakika 90'Tanesco wamedinda kurudishwa bana au mpaka nisinzie 🤠🤠
Rais wa CAF anatoka kwao South huko na Yuko Uwanjani Leo...!!!A. Kusini ndiyo mabingwa wa hii michuano.. S.A ndiyo wataondoka na kikombe ni suala la mda.