Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
SanaYuko vizuri
Unawachukuliand Mamelodi Wana pesa hao sio km Simba na yangaItakuwa ngumu sana, Mamelodi kubaki na huyu Kipa
Bando lipo decoder ndio iliungua na hata mchana niliangalia catch up ya muvi zangu fulani sa sijajua Kwanini Usiku kuingia imezingua!Bando halitoshi lete #.
utanishukuru baadae
😁🤣😂Wamekutana wadau wa dili za Magendo leo patachimbika
Sema kwa ulaya kwa kimo kile Ni ngumu kucheza big team wazee Africa is not Europe ila kuna baadhi ya ligi anaweza kuchezaAlivyochomoa lile shuti sio poa
So number hutoi?Bando lipo decoder ndio iliungua na hata mchana niliangalia catch up ya muvi zangu sa sijajua Kwanini Usiku kuingia imezingua!
Sinunui decoder mpya hadi hiki kifurushi kiishe🤠🤠🤠
Chama langu Chelsea mwamba ndio huyu sasa anakata umeme, anachezesha timu na anafunga, Yani ni Michael Essien mtupu.Habaki pia msimu ujao
Kwamba mshikaji ni mfupi?Sema kwa ulaya kwa kimo kile Ni ngumu kucheza big team wazee Africa is not Europe ila kuna baadhi ya ligi anaweza kucheza
Lkn hela wanayo maana team ya billionaire.Itakuwa ngumu sana, Mamelodi kubaki na huyu Kipa
Wanapesa za Tottenham?Unawachukuliand Mamelodi Wana pesa hao sio km Simba na yanga
Anaenda English Premier League.Lkn hela wanayo maana team ya billionaire.
Lbd itokee ofa ya nje ya Africa.
Bando sio shida mkuu barikiwa sanaSo number hutoi?
nina bado la 150k
Mkuu Tottenham imsajili Williams?Wanapesa za Tottenham?
Heeh! ndio hutaki?Bando sio shida mkuu barikiwa sana
Mmmh sio rahis ivo.Anaenda English Premier League.