2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Wakuu Sithole vs Mokoena aisee hii ni best combo ya midfield in Afcon 2023[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Ni burudani sana kuwatazama hawa wazulu pale katikati
 
Bando lipo decoder ndio iliungua na hata mchana niliangalia catch up ya muvi zangu sa sijajua Kwanini Usiku kuingia imezingua!
Sinunui decoder mpya hadi hiki kifurushi kiishe🤠🤠🤠
So number hutoi?
nina bado la 150k
 
Back
Top Bottom