Onana na Williams nani mrefu?kimo chake kidogo huyu mzee japo ni kipa mzuri nakupa tu mfano wew muangalie Courtios alivyo mrefu vile lakini bado watu huwa wanamtesa kweli kweli kumpeleka juu Urefu kwa Goli kipa hasa kwa mpira ulaya ni muhimu sana
Kuna watoa takwimu walisema NBC PL ni ya 5 Africa alafu ya Sauzi ni ya 6 Africa Mbwa sana wale jamaaaLeague ya South Afrika ni ya kuiheshimu...
Cheki hapa. Live Nigeria vs South Africa - Africa Cup of NationsNdio sitaki! Naona itakua sababu ya tanesco mkuu make mchana nilikua naangalia vizuri tu!
Andre Onana ni mrefu kwa WlliamsKuna watoa takwimu walisema NBC PL ni ya 5 Africa alafu ya Sauzi ni ya 6 Africa Mbwa sana wale jamaaa
Kuna watoa takwimu walisema NBC PL ni ya 5 Africa alafu ya Sauzi ni ya 6 Africa Mbwa sana wale jamaaa