uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Onana na Williams nani mrefu?kimo chake kidogo huyu mzee japo ni kipa mzuri nakupa tu mfano wew muangalie Courtios alivyo mrefu vile lakini bado watu huwa wanamtesa kweli kweli kumpeleka juu Urefu kwa Goli kipa hasa kwa mpira ulaya ni muhimu sana