United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Ngoja tuone. Ila mimi nawapa SA asilimia nyingi za kupita.Wasijiamin Sana maana wapigaji wao wengi ni ndezi vile vile lbd wabadilike leo.
Ndio zimeanzaWakiingia penati kazi ipo[emoji3][emoji3]
😂😂😂pigaaa msouth huyo
Hata mm lbd wapigaji wawe wajinga.. Lkn kipa anachukua 1 au 2Ngoja tuone. Ila mimi nawapa SA asilimia nyingi za kupita.
Yes wao ni bora na hata ligi zao ni bora kuliko yetu ila haindoi ukweli kuwa ligi yetu ipo kwenye ligi 10 bora africa ni lazima tujivunie hilo sio kudharau eti kisa tumetoka mapema Timu ya taifaWale sio wabovu ila wameshuka kwenye ubora wao Bado rekodi zao zinaweba sana usije kujiweka kwenye kiti chao wew jipange tu
Mbn kwetu haurudi sasa kama wameshaanza kukata kwengne?Dah Mtaani kwetu wamekataa umeme mda wa penati