Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Jamaa hata kipa hajamuangalia sasa atapaje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua hujui, nigeria haooooo fainaliKemea pepo.
Zimeanza kukuvamia kwa sauti ya upole 😂😂
Yanga acheni chuki....jamaa kawakosea nini ?Hapana nafuta kauli wazulu wapuuzwe wakiongozwa na pesi tau
Karibu congo 😂😁🤣Mpira unauma kuliko mapenzi!
dalili zikiUtajua hujui, nigeria haooooo fainali
Ndiyo S.A watashinda na watachukua ubingwaWapigaji WA SA Yan unawaona kbs Hwa ndezi wengi.
igwhweeeeeeeIgweeeeeeeeeeeeehh
Yeah!....kama wa Simba tu...😂😂😂Wachezaji wa south hawajui kupiga penalt kabisa
Mi msimbazi, percy tau kazingua sana kwenye hii kampeni ya afcon kwa wasouth mzeeYanga acheni chuki....jamaa kawakosea nini ?
😁😂🤣Aseee