Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Utajua hujui, nigeria haooooo fainaliKemea pepo.
Zimeanza kukuvamia kwa sauti ya upole ππ
Yanga acheni chuki....jamaa kawakosea nini ?Hapana nafuta kauli wazulu wapuuzwe wakiongozwa na pesi tau
Karibu congo πππ€£Mpira unauma kuliko mapenzi!
dalili zikiUtajua hujui, nigeria haooooo fainali
Ndiyo S.A watashinda na watachukua ubingwaWapigaji WA SA Yan unawaona kbs Hwa ndezi wengi.
igwhweeeeeeeIgweeeeeeeeeeeeehh
Yeah!....kama wa Simba tu...πππWachezaji wa south hawajui kupiga penalt kabisa
Mi msimbazi, percy tau kazingua sana kwenye hii kampeni ya afcon kwa wasouth mzeeYanga acheni chuki....jamaa kawakosea nini ?
πππ€£Aseee