Yeah!....kama wa Simba tu...πππWachezaji wa south hawajui kupiga penalt kabisa
Yule fala mwenye pala ndo kazenguaWachezaji wa south hawajui kupiga penalt kabis
Niache nipo off moodKaribu congo πππ€£
Jana mazoezini walifanya kazi ya kumsomaHuyu kipa wa South alidakaje zile penat 4 mbona mwepes
Naona wameshinda mkuu.Ndiyo S.A watashinda na watachukua ubingwa
Nilisema hapa wasijiamini sana haya kiko wapiAkicheza nyingi ni mbili na haziwasaidii wanatoka leo hata huyo Golie wa Chippa united usimchukulie poa kwa wapigaji wazembe wasau anaweza ibuka shujaa
Kwa Nini Cherie karibu DRC tukupe furahaNiache nipo off mood
Kakutana na mafundiLeo mwanangu hajaotea hata moja daah
Sana. Hata game iliyopita walibebwa sana na Keeper wao. Nadhani wa Nigeria [emoji1184] walimsoma sana WilliamsWapigaji WA SA Yan unawaona kbs Hwa ndezi wengi.
Mmekufa kiumeπ€£ππTumejitaidπ₯