United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Mechi umecheki kweli...Mmekua bora kwenye match ya leo, mlifanya kila muwezalo kushinda hii match lakini bahati haikua upande wetu.
Mpaka wakati ujao!!
Bafana Bafana!🇿🇦
Ndio kitu nimewaambia ninaoangalia nao hapa.Sana. Hata game iliyopita walibebwa sana na Keeper wao. Nadhani wa Nigeria [emoji1184] walimsoma sana Williams
Kbs Yan wapigaji wa SA ukiwa angalia tu unajua Hawa watu hata confidence ya kupiga haipo.Sana. Hata game iliyopita walibebwa sana na Keeper wao. Nadhani wa Nigeria [emoji1184] walimsoma sana Williams
SA ingekua haina quality players pia, basi match Nigeria wangeimaliza dakika ya 90.Mechi umecheki kweli...
SA wamekutana na quality players
Sema mwnyej akipita hapa itakua kisanga.Nigeria atabeba ubingwa
Anatakiwa atoke tuSema mwnyej akipata hapa itakua kisanga.
Leo tuko sambamba. Ivory Coast watupe raha sasa.leo.Bandika.bandua tumetoka Bouke tunaamia abjdan poleni sana wa south haya makombe yanawenyewe
Cc smartIgweeeeeeeeeeeeehh
Azam hao mm nikihamia Tv E Sema penat ya kwanza ya Sauzi na ya 2 ya Nigeria sikuzionaAsee Sasa hapo katiba mpya inaingiaje
Wajinga Hawa Wana bahat kishenz wanaweza Tena bahatisha Tena.Anatakiwa atoke tu
Afcon ina dosari mkuuu, channel tutazilaumu tu wanapochukua matangazo ndo wanazinguaKuna channel ni za kiwaki sana yaani jamaa wameonyesha mpira dk 120 alafu muda wa penalty wameukata matangazo, unyanyasaji wa kijinsia kabisa hapa ndipo unapopona umuhimu wa katiba mpya.
jinsia tena? 😂Kuna channel ni za kiwaki sana yaani jamaa wameonyesha mpira dk 120 alafu muda wa penalty wameukata matangazo, unyanyasaji wa kijinsia kabisa hapa ndipo unapopona umuhimu wa katiba mpya.