2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Sana. Hata game iliyopita walibebwa sana na Keeper wao. Nadhani wa Nigeria [emoji1184] walimsoma sana Williams
Kbs Yan wapigaji wa SA ukiwa angalia tu unajua Hawa watu hata confidence ya kupiga haipo.

Na kocha alivo fala nilijua game iliyopita kaenda fanyia ilo mazoez.. Alivo fala leo pia anatk tegemea heroics za goalkeeper Tena wkt Nigeria nao washamsoma Goalkeeper wa SA anavoenda.

SA undezi wao ndo umewatoa.
 
Hao Ivory coast ni kama mbogo aliejeruhiwa...
Wale wachezaji wa bench wanataka kuonyesha kuwa kocha mzungu kilaza tu....
Japo nipo M23 lakini sijui tu
 
Kuna channel ni za kiwaki sana yaani jamaa wameonyesha mpira dk 120 alafu muda wa penalty wameukata matangazo, unyanyasaji wa kijinsia kabisa hapa ndipo unapopona umuhimu wa katiba mpya.
Afcon ina dosari mkuuu, channel tutazilaumu tu wanapochukua matangazo ndo wanazingua
 
Back
Top Bottom