2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kitendo cha kocha kuwa anamuazisha Seri kwenye Namba sita inabidi apewe zawadi kubwa sana maana tatizo la.ivory coast ndio lilikua linaanzia apo
 
Ni aibu sana mkuu mwanzoni nikahisi labda Kuna mvua uwanjani kumbe ni namna ya urushaji wao wa matangazo.
TBC haijawai kuwa na clear picture ukiingalia sana lazima utapata shida ya macho sababu ya mwanga hafifu ya video zao
 
Hivi ni kwanini kocha wa congo haoni kuna umuhimu wa mayele kucheza
Style ya uchezaji ya Mayele inahitaji timu inayompa nafasi ya kuongoza mashambulizi kama alivyokuwa pale Deportivo de Utopolo kitu ambacho hawawezi kumpa katika timu ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…