Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabikia Ivory Coast basi inaonekana una kitu cha kutusaidia leo 🤣🤣🤣Kila timu ninayoshabikia inatolewa
Acha nione Congo labda hawatonidisappoint
Angalia huyu naePass ya Inonga [emoji91]
Umeongea hoja sanaaNigeria wana wachezaji wengi wazuri lakini kocha anashindwa kupata muunganiko ili wacheze vizuri. Wale South Africa wana wachezaji wa daraja la kati tu hata subs zao haziwezi kukutisha ila wanacheza kitimu sana na ni kwasababu wengi wengi wanacheza timu moja so wanaelewana sana. All in all napenda Nigeria achukue hii ndoo this time. Mwaka 2000 walitolewa na Cameroon kwenye final na mwaka 2002 wakatolewa nusu final na Senegal. Ni miaka ambayo Nigeria alikua na kikosi bora sana cha soka Barani Africa. Since then nimekua shabiki mkubwa wa the Super Eagles ukizingatia miaka hiyo Taifa Stars ndo ilikua kichwa cha mwendawazimu haswaa bora hata sasa. Final ya mwaka 2000 ilinitoa machozi nikishuhudia Nwanko Kanu mchezaji wa Arsenal yangu toka nitoke anakosa mkwaju wa penalty na Victor Ikpeba huku Cameroon wakikosa mkwaju mmoja wa penalty kupitia kwa mwamba kweli kweli marehemu Marc Vivien Foe
Ilikuwa assist kabisa ilePass ya Inonga [emoji91]
Nimeipenda hii ya live sports iko clear and alive hadi raha!Ivory Coast vs DR Congo - Africa Cup of Nations livesteaming 02-08-2024 | Tigoals
Live streaming of Ivory Coast vs DR Congo, 02-08-2024, Africa Cup of Nations live stream. Football free live steaming, analysis, stats, tigoals, tigoals live, idn tigoals, 808 score, Tigoals, livesports on tigoals live streaming.play21.marza1.com
Greatest Of All Time ulinicheka kwenye hii post jamaa hao fainaliWanaigeria wamejipanga
Hata hiyo angefunga tu VAR ingefanya yakeHuyu Mwisa anakosaga sana magoli
Mpira una matokeo ya kikatili sanaa Mama TrentIvory Coast siwataji
Kwanza sijui wamefikaje 😂
Ni fedheha Senegal yupo nyumbani eti ivory coast anadunda jamani
Dunia haiko fair.
Nikuhakikishie ambaye atakuja kucheza na sisi Bafanabafana kwenye kumtafuta mshindi wa tatu ajipangrHii mechi ya sasa hivi ndio Mdakuzi husema “Umekula biriani hujashiba ukaomba kuongezewa ukapewa bada”
Utopolo mtupu!
Mechi ya SA na Nigeria ilikuwa ya kufundishia darasani kabisa kwenye shule za soka.