Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa. Huwa wanakuja hawajali kabisa.Utamu wa Ivory coast Ndio Huu wakiamua kuja wanakuja kweli kweli
Huyu soon atakuwa atembei kabisaHyu dogo wa Cdv anasumbua sana
Kababaishaji sana hako. Kalimpa Morocco mechi ya Morocco na SAKanasema Congo [emoji1078] ndio mshindi
Mmmh....vita mpya au?Kwa ajili ya vita inayoendela congo
Mi nimeshangaa kishenz...kweli sisi hatutofautianNimejiuliza sana baada ya kuona hivyo
Ule tumeupuliza ulee la sivyo ingekuwa kamba hii game ilishaisha Toka asubuhi na congo walishashinda amini maneno yangu sisi wazee wa kasumbalesa hatuna jambo dogo 🔥🔥🔥Chuma imekula nguzo duuuh leo Congo kazi tunayo
Sio wengine, ni DRC.Nikuhakikishie ambaye atakuja kucheza na sisi Bafanabafana kwenye kumtafuta mshindi wa tatu ajipangr
Na hizi krosi wanazoacha zipgwe ovyo Sebastian haller anawafumua wakiendelea kuzubaaKabisa. Huwa wanakuja hawajali kabisa.
Congo wamepoteana hapa.
Kessie analamba bomba hapa
Drogba na umwamba wake jumlisha kikosi bora kabisa hajawahi kuibeba hiyo ndoo. Ilibebwa tayari kaondoka.Huyu Heller tangu aanze Kusuka Hizo twende Kilioni, anazingua, Hadi Drogba amewaza kama angekua yeye shughuli imeisha.
Sisi tuna balaa sanaCongo wazuri 2nd half sishangai mechi zao zote zinaazaga hivi na akifungwa ndio mashetani hucharuka
Maisha yako yoteKama umeshiba biriani wewe lala tu uisubiri Congo Dr fainali