United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
kwani kuwa na kila kitu Ndio kuwa na Vipaji Congo ki asili ni watu wa soka Na Ndio maana wamewahi kucheza hadi fainali za kombe la Dunia kiufupi Wa Congo wana Asili ya vipaji vya Soka na wengi wao wanamakuzi mazuri yakisokaIla hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje
Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika