2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kwa tuliowaangalia Ivory Coast tokea mwanzo wako kama wine, kadiri muda unavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa bora.
Ni hatari zaidi kipindi cha pili na muda wa nyongeza.
 
Kwa tuliowaangalia Ivory Coast tokea mwanzo wako kama wine, kadiri muda unavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa bora.
Ni hatari zaidi kipindi cha pili na muda wa nyongeza.
ivory coast wapo direct sana wanaweza wakakaa nyuma kwa kwa kipindi kifupi tu ila wakiamu kutoka wanatoka na wanakuja direct hakuna kurudi Nyuma
 
Ila hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje

Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
Congo haina mapigano nchi nzima, iko na vita sehemu tu ya ukanda kwa mfano tz iwe na amani sehemu kuubwa afu let's say kigoma wakawa na mapigano yasiyoisha
 
Back
Top Bottom