2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ila hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje

Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
kwani kuwa na kila kitu Ndio kuwa na Vipaji Congo ki asili ni watu wa soka Na Ndio maana wamewahi kucheza hadi fainali za kombe la Dunia kiufupi Wa Congo wana Asili ya vipaji vya Soka na wengi wao wanamakuzi mazuri yakisoka
 
Ila hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje

Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
Congo miaka yote pamoja na vita wamekuwa mbele sana kwenye mpira na muziki. Nadhani wamejitengenezea au wametengenezewa access ya kwenda France na Belgium. Nilisikia katika kikosi chao ni mmoja tu anacheza ligi ya ndani.
 
Umeandika as if Nigeria [emoji1184] hajawahi kuchukua ndoo hapo katikati. 2013
Mi nimezungumzia kizazi cha dhahabu cha Nigeria 1994-2002. Walikua na kizazi cha dhahabu zama hizo lakini hawakupata mafanikio stahiki kulingana na ubora wa wachezaji walokua nao. Inatokea sana kwenye football, hata Real Madrid akiwa na kazazi cha dhahabu cha akina Figo, Zidane, Raul, De Lima hawakua na maajabu kwenye UEFA Champions League, badala yake waliokuja mapinduzi ni kina Ramos, Benzema, Bale na Cristiano Ronaldo. Vivo hivyo kwa Waholanzi, hawajawahi kuishiwa wachezaji bora, kila football tournament kubwa hua wana kikosi bora, iwe na Euro ama World Cup ila hua hawana maajabu sana ukitoa mwaka 1998, 2010 na kidogo 2014 walifika hatua za mbali kidogo, ila kuna miaka hata kufuzu tu hua ni shida.
 
Back
Top Bottom