Labda achukuliwe na Nyoshi El Sadat 🤣🤣Inonga msimu ujao abaki anasepa
Wachezaji wa Ulaya watakua Wameshinikiza, Wanataka Wawahi Kutwanga kwenye Club zaoKulikuwa na haja gani nusu fainali zote kuchezwa siku moja😶
Hamtaki hata kupasha kiporo🤣Mayele ni ex, mi wala simshobokei kwanza ana kiherehere sana 😅😅
Daah🤣 unaichukia simba kiasi hiki kuna kitu itakuwa🤣🤣Labda achukuliwe na Nyoshi El Sadat 🤣🤣
Kosa la Inongamamayee huyu kipaaa atatolewaaa rohoooooo
Jam la usingizi kama hapa lote afu na umeme ndio imerudi saivi sasa!!unalaje mapema ivi hujui kama vita mara nyingi vinaaza Usiku
Ili kabla ya fainali timu ziwe na muda sawa wa kupumzikaKulikuwa na haja gani nusu fainali zote kuchezwa siku moja😶
DRC wanatuharibia hii mechi.Yani nimekukumbuka sana leo b… Naona hata uvivu kuangalia ila ndio sitaki kupitwa sasa.
B… wangu una akili na ni mkweli. Natamani ile mechi ya kwanza ungekuwepo.DRC wanatuharibia hii mechi.
Ova