Tunavua hii mapema sanaHii wiki nzuri kwangu, wiki iliyopita nimeteseka sana 🥹
ilo ni mashine mzee ukimpigia krosi mia anakosa 10 anakufunga 90Uyu haller ni andy caroll kabisa
Duh🤣ilo ni mashine mzee ukimpigia krosi mia anakosa 10 anakufunga 90
cha muhimu Congo na South watoke fainali inajadilikakwa leo yeyote atakayeshinda sawa, ila fainali nipo super eagle.
huyo ivory coast bado ana bahati maisha, hana maajab.cha muhimu Congo na South watoke fainali inajadilika
Ashapigwa sasa anatia watu wa kubadili mfumo. Huwezi kucheza kinyonge hivi na Mayele uko naye kwenye benchi.B… wangu una akili na ni mkweli. Natamani ile mechi ya kwanza ungekuwepo.
wew siunaliona linavyojitwisha Ndoo na apo alishaaugua kitandani miezi sita anatibu Cancer lakini balaa lake sio la Nchi hiiDuh[emoji1787]