2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Haya washapigwa, wacheze mpira sasa, majitu yako saba kwenye boksi wanazidiwa na watatu.

Ukishacheza kwa kulinda na watu 8, huo ni mpira gani?

Ova
 
Back
Top Bottom