Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha...hawajalala wanaoitwa kichwa cha mwenda wazimu ..tulale sisi ?Upo saa hizi? Rudi kulala wewe.
Kwanza hapo ncheke 😂We na kipaka chako wanchekeshaaa[emoji1787][emoji1787]kwani unakatoaga wapi?!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaNdo maana wakakatalia matangazo ya mpira warushe wao tuu kwa tz bila ivo hakuna wa kuangalia picha TBC bana tuache unafki labda wazee kwenye taarifa za habari sjui aridhio
Haha Mtani hivi kumbe unaishi Congo, we ni mbongo au ni mcongo, maana siyo kwa mahaba hayaMie nilishabeba hili wewe ndo haujawahi hata kufika robo olingi ngai mingi
Hahahahaha. Sawa sawaHebu kwenda huko, kaka mzuri wangu yuko busy huo muda wa kuzurura kwenye mitandao anaupatia wapi?
Halafu hana hata hizo Apps, umefeli.
Nani huyouyu mtoto uwanja mzima unamshangilia
Ni naniAnajua
We utawaweza wanaume hapo ilimradi tu uone wivu umsumbue Kaka mzuri wa watu, hata wakichat huko Tiktok au Ig unafikiri kukutana ni rahisi, japo dunia ni kijiji ila kuna nchi interaction baina ya watu wao ni kwa asilimia ndogo sana mfano wabongo na waverde wapi na wapi [emoji3][emoji3]Hebu kwenda huko, kaka mzuri wangu yuko busy huo muda wa kuzurura kwenye mitandao anaupatia wapi?
Halafu hana hata hizo Apps, umefeli.
Hebu kwenda huko, kaka mzuri wangu yuko busy huo muda wa kuzurura kwenye mitandao anaupatia wapi?
Halafu hana hata hizo Apps, umefeli.
Tunaandaa mazingira rafiki kwa ajili ya 2027. Miaka 3 si mbali. Halafu tunapiga kampeni ya chinchini kwa Mama Kizimkazi ili Tanzania iongeze na kukuza ushirikiano wa karibu na Cape Verde kwa hiyo maingiliano yanaweza ongezeka 🤣😂🤣We utawaweza wanaume hapo ilimradi tu uone wivu umsumbue Kaka mzuri wa watu, hata wakichat huko tiktok au ig unafikiri kukutana ni rahisi, japo dunia ni kijiji ila kuna nchi interaction baina ya watu wao ni kwa asilimia ndogo sana mfano watanzania na wacabo wapi na wapi [emoji3][emoji3]
Wewe kama nani unayetoa ushauri kwa timu ya Taifa DRC. Kwanza huyo Ngoma ana kipi cha maana kakifanya SimbaCongo ilihitaji mtu kama Fabrice Ngoma maana inakosa kiungo wa kuunganisha timu pale kati ili ifanye mashambulizi ya kueleweka
Ni mcongo mwenye uraia pacha wa nchi 2 Tanzania na DRC nimezaliwa Kinshasa nimekaa sana kasumbalesa na Lubumbashi kwa upande wa Tanzania naishi kigamboniHaha Mtani hivi kumbe unaishi Congo, we ni mbongo au ni mcongo, maana siyo kwa mahaba haya
Mambo mtoto mzuri ShadeeyaPole Mkuu haikuwa bahati kwenu.
😃😃🥂Asante sana Mkuu nimepoa ila kuna vidonda vibichi kabisa vya Drc🤣imewaumiza wengiPole Mkuu haikuwa bahati kwenu.
😭😭😭😭😭😭 😂🤣Si upo msibani wewe🤣🤣🤣
😂😂😂 Ile game ilikuwa hatari.😃😃🥂Asante sana Mkuu nimepoa ila kuna vidonda vibichi kabisa vya Drc🤣imewaumiza wengi