2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hebu kwenda huko, kaka mzuri wangu yuko busy huo muda wa kuzurura kwenye mitandao anaupatia wapi?
Halafu hana hata hizo Apps, umefeli.
We utawaweza wanaume hapo ilimradi tu uone wivu umsumbue Kaka mzuri wa watu, hata wakichat huko Tiktok au Ig unafikiri kukutana ni rahisi, japo dunia ni kijiji ila kuna nchi interaction baina ya watu wao ni kwa asilimia ndogo sana mfano wabongo na waverde wapi na wapi [emoji3][emoji3]
 
Hebu kwenda huko, kaka mzuri wangu yuko busy huo muda wa kuzurura kwenye mitandao anaupatia wapi?
Halafu hana hata hizo Apps, umefeli.

We utawaweza wanaume hapo ilimradi tu uone wivu umsumbue Kaka mzuri wa watu, hata wakichat huko tiktok au ig unafikiri kukutana ni rahisi, japo dunia ni kijiji ila kuna nchi interaction baina ya watu wao ni kwa asilimia ndogo sana mfano watanzania na wacabo wapi na wapi [emoji3][emoji3]
Tunaandaa mazingira rafiki kwa ajili ya 2027. Miaka 3 si mbali. Halafu tunapiga kampeni ya chinchini kwa Mama Kizimkazi ili Tanzania iongeze na kukuza ushirikiano wa karibu na Cape Verde kwa hiyo maingiliano yanaweza ongezeka 🤣😂🤣
 
Congo ilihitaji mtu kama Fabrice Ngoma maana inakosa kiungo wa kuunganisha timu pale kati ili ifanye mashambulizi ya kueleweka
 
Back
Top Bottom