Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katuaibisha Tulio Msema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katuaibisha Tulio Msema
Hafai kabisa. Kumbe uliisha muona kitamboKwaheri ba kongooo.
Mwendo mmeumaliza...
Huyu Meshack Elia mchoyo mchoyo sana
He took it personally!!Katuaibisha Tulio Msema
Tunafuta Kauli, Sio TapeliWilliams again
KabisaLawama zote kwa nahodha Mbemba
Tafuta Kimiminika UnywePresha imenipanda 😭
Sijui huwa anajiona vipi yani!!Hafai kabisa. Kumbe uliisha muona kitambo
Huyu hata match ya nusu fainali ndio alichomesha. Alipoteza mpira kizembe sana wakaenda kufungwa.Lawama zote kwa nahodha Mbemba
Mbemba kuanzia nusu fainali ni yeye ndio katuuzaHe took it personally!!
Kwani Kakosa Peke yake?Kabisa
Eti mchoyo😂Kwaheri ba kongooo.
Mwendo mmeumaliza...
Huyu Meshack Elia mchoyo mchoyo sana
Subiria na suluhu yako ingine pale Sokoine leoPresha imenipanda 😭
Hamna kipa hapo 😂 sema kapigiwa na wapigaji wabovu tu ila zile zingine alikuwa azifati Wala niniHuyu Williams 🔥🔥🔥
Ile siku ya Ninegria aliamka tu vibaya ila ni bonge la kipa
Kuanzia saves zake
Ona anavyodaka mikwaju
Hakuna cha kuamka vibaya siku ile alikutana na wapigaji wazuriHuyu Williams [emoji91][emoji91][emoji91]
Ile siku ya Ninegria aliamka tu vibaya ila ni bonge la kipa
Kuanzia saves zake
Ona anavyodaka mikwaju
Jinga sanaMbemba kuanzia nusu fainali ni yeye ndio katuuza