Kuna Assist angezitoa hii match isingefika hukuEti mchoyo😂
Turudi zetu Kinshasa tu 😭Kwaheri ba kongooo.
Mwendo mmeumaliza...
Huyu Meshack Elia mchoyo mchoyo sana
😂Subiria na suluhu yako ingine pale Sokoine leo
Anzisha uzi kabisa tuanze uchambuzi wetu.
Sisi wana Prisons waadilifu.
Niliwahama kuanzia dakika ya 43Turudi zetu Kinshasa tu 😭
Mapema sana.Congo walikuwa na nafasi ya kushinda
Ujinga wao umewacost
Unaenda matuta na South Africa kweli?
Kabisa wananipa kazi ya kuwatuliaza wanangu na mke wangu hapa wanalia kama watoto😭😭Mapema sana.
Kisicho rizki hakiliki
Hapana kuna ile alikuwa nayo anamwona Mayele yuko eneo zuri kabisa la kufunga lakini yeye akaipeleka kwingineAlitaka Atoe pasi Ile penati😀
Fukuza wakalale, Kesho wawahi Ku KanisaKabisa wananipa kazi ya kuwatuliaza wanangu na mke wangu hapa wanalia kama watoto😭😭
B... hapana bwana. DRC walistahili ushindi, bahati haikuwa tu upande wao.Mwisho wa siku kila mmoja amepata alichostahili kupata.
Ova
😂😂😂😂Alitaka Atoe pasi Ile penati😀
Akitaka apate man of the matchHapana kuna ile alikuwa nayo anamwona Mayele yuko eneo zuri kabisa la kufunga lakini yeye akaipeleka kwingine
Mi nilivyoona wanacheza na zile nafasi toka 1st half nikajua tu wanatafuta kulia.Mapema sana.
Kisicho rizki hakiliki
Hatuna upande😂KwahIyo Tanzania fainali tupo upande gani?