2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mechi ya kesho naiogopa sana, hebu ngoja niendelee kutafakari.
Japo natamani Nigeria washinde ila nafasi ni 50,50.
Kila mmoja ana eneo lake la ubora.
 
Mechi ya kesho naiogopa sana, hebu ngoja niendelee kutafakari.
Japo natamani Nigeria washinde ila nafasi ni 50,50.
Kila mmoja ana eneo lake la ubora.
Hata wakishindwa wote ni sawa
Yaani timu ninazozichukia ndio zinacheza fainali

Roho inaniuma,south ndio alitakiwa awe fainali,Nigeria ni matapeli
Kipa wao aliwatisha wapiga penati wangoni wetu,,achukuliwe sheria.

Hiyo mijanjajanja Ivory Coast iliyochanja mbuga vichakani.
Eti Mabingwa Senegal wapo nyumbani, Ivory Coast wanadunda tu!
Kweli uchawi upo 🙌🏿
 
Mimi ningeishabikia Ivory Coast, yule dogo Haller ametisha kweli ila sasa waliniumiza kwa Senegal & Mali.

Nigeria sina shida nao, namkubali Victor sana.
 
Nawalaumu mabeki goli la kwanza tu.
Mawili yaliyobaki wa kulaumiwa ni Allison tu 100/%,, jamaa alinikereketa sana.. Mimi siyo wa kulala kinyonge vile kisa Aseno.
Tumpongeze na mfungaji hasa lile la 3 lilikuwa goli la akili
Team yetu sikuile moral ilikuwa chini sana kwa kweli
Tutafute namba 6 mzuri
Thingo aachwe
Nunez ajitahidi kama leo.

Vvd naye anachoka atafutiwe mwenzie kipa wako yule bado sana kwa Allison labda tuletewe kipa mwengine
 
Yaani mtu anaacha goli, anatoka kujichanganya na akina Jota sijui alikuwa anatafuta nini katikati ya uwanja.

Mara mia tungeazima kipa wa Ihefu adake.

Yule dogo mi namkubali sana.. huo upuuzi wa Allison huwa haufanyi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…