2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Yaani mtu anaacha goli, anatoka kujichanganya na akina Jota sijui alikuwa anatafuta nini katikati ya uwanja.

Mara mia tungeazima kipa wa Ihefu adake.

Yule dogo mi namkubali sana.. huo upuuzi wa Allison huwa haufanyi kabisa.
Unataka kutuuza wewe yule dogo atakaa golini baadaye sio sasa tupo kwenye kutafuta kila point hakuna kudondosha
 
Mashindano yalikuwa na warembo wengi sana wa kushangilia. Nchi nyingi zilijitahidi kuwakilishwa vizuri na warembo isipokuwa Tanzania nadhani kwa vile tuliamini tutaondoka mapema sana. Hata Zambia ilikuwa na warembo washangiliaji ingawa tuliondoka pamoja

1707607341162.png

1707607440198.png
 
Mashindano yalikuwa na warembo wengi sana wa kushangilia. Nchi nyingi zilijitahidi kuwakilishwa vizuri na warembo isipokuwa Tanzania nadhani kwa vile tuliamini tutaondoka mapema sana. Hat Zambia ilikuwa na warembo washangiliaji ingawa tulondoka pamoja
Walikwama hapo si wangewapeleka kina sanchoka jamani? Kwani bei gani?
 
Selikavu walau mna cha kuhadithia. 😅

Hivyo medali zenu ndo mnachukua leo ama vipi?

Mkuu jana nilikuwa harusini hivi sikupata wasaa wa kuwaangalia.. ila nimeamkia na Highlights kwanza nione kilichojiri....

Ba mutu ba kongo hawawez kutusumbua kabisa🤣

Issue ya medal sijaelewaa imekaaje nadhan labda watapewa leo😅
 
Mkuu jana nilikuwa harusini hivi sikupata wasaa wa kuwaangalia.. ila nimeamkia na Highlights kwanza nione kilichojiri....

Ba mutu ba kongo hawawez kutusumbua kabisa🤣
Mi mwenyewe nilikuwa na usingizi nimelala saa mbili nikaweka alarm saa tano kwani hata nimeweza kuamka. 😅

Hapa nasubiria baadae wakiirudia ndo niicheck mana nimekuwa kama wewe nimeangalia highlights tu mitandaoni hii asubuhi
Issue ya medal sijaelewaa imekaaje nadhan labda watapewa leo😅
Itakuwa hivyo labda.
 
Kukosa ushindi wa tatu umesababisha Mkuu Charles kilian yaani kakosa kabisa hata nguvu ya kuiongelea Congo tena.

Kaamua kuhamia Nigeria. 😅😅
 
Mi mwenyewe nilikuwa na usingizi nimelala saa mbili nikaweka alarm saa tano kwani hata nimeweza kuamka. 😅

Hapa nasubiria baadae wakiirudia ndo niicheck mana nimekuwa kama wewe nimeangalia highlights tu mitandaoni hii asubuhi

Itakuwa hivyo labda.
😅😅😅Aaah mimi highlights zinanitosha maana sio kwa koswakoswa hizo😃😃
 
Back
Top Bottom