Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Unataka kutuuza wewe yule dogo atakaa golini baadaye sio sasa tupo kwenye kutafuta kila point hakuna kudondoshaYaani mtu anaacha goli, anatoka kujichanganya na akina Jota sijui alikuwa anatafuta nini katikati ya uwanja.
Mara mia tungeazima kipa wa Ihefu adake.
Yule dogo mi namkubali sana.. huo upuuzi wa Allison huwa haufanyi kabisa.
Kadaka leo na mambo yameenda poa.Unataka kutuuza wewe yule dogo atakaa golini baadaye sio sasa tupo kwenye kutafuta kila point hakuna kudondosha
Si kapumzishwa tu akili itulie basi tu match muhimu lazima Allison arudi match na City kehlener hawezi kudaka hiyoKadaka leo na mambo yameenda poa.
Ona pazia lenu sasa
Goli 3,tena za kipuuzi kabisa.
Walikwama hapo si wangewapeleka kina sanchoka jamani? Kwani bei gani?Mashindano yalikuwa na warembo wengi sana wa kushangilia. Nchi nyingi zilijitahidi kuwakilishwa vizuri na warembo isipokuwa Tanzania nadhani kwa vile tuliamini tutaondoka mapema sana. Hat Zambia ilikuwa na warembo washangiliaji ingawa tulondoka pamoja
Nipo US. Ila hawa jamaa wamejaa kila mahali. Wakishinda hatusemi.Rudi nyumbani, toka huko SA ππ
Nimehisi ni huko kwa uhasama uliopo, wala sina ufahamu ni wapi huko unakoongelea.
Kumbe!
Kwanini sasa hata ile mitano isiishie dakika 90 wakaenda mikwaju?
Na vipi fainali yenyewe huwa zinachezwa ngapi dakika?
Mi mwenyewe nilikuwa na usingizi nimelala saa mbili nikaweka alarm saa tano kwani hata nimeweza kuamka. πMkuu jana nilikuwa harusini hivi sikupata wasaa wa kuwaangalia.. ila nimeamkia na Highlights kwanza nione kilichojiri....
Ba mutu ba kongo hawawez kutusumbua kabisaπ€£
Itakuwa hivyo labda.Issue ya medal sijaelewaa imekaaje nadhan labda watapewa leoπ
Kukosa ushindi wa tatu umesababisha Mkuu Charles kilian yaani kakosa kabisa hata nguvu ya kuiongelea Congo tena.Mkuu jana nilikuwa harusini hivi sikupata wasaa wa kuwaangalia.. ila nimeamkia na Highlights kwanza nione kilichojiri....
Ba mutu ba kongo hawawez kutusumbua kabisaπ€£
Issue ya medal sijaelewaa imekaaje nadhan labda watapewa leoπ
π π π Aaah mimi highlights zinanitosha maana sio kwa koswakoswa hizoππMi mwenyewe nilikuwa na usingizi nimelala saa mbili nikaweka alarm saa tano kwani hata nimeweza kuamka. π
Hapa nasubiria baadae wakiirudia ndo niicheck mana nimekuwa kama wewe nimeangalia highlights tu mitandaoni hii asubuhi
Itakuwa hivyo labda.
πππMdomo ulimponza marehemuKukosa ushindi wa tatu umesababisha Mkuu Charles kilian yaani kakosa kabisa hata nguvu ya kuiongelea Congo tena.
Kaamua kuhamia Nigeria. π π
Dah..bora jana nililewa mapemaTresor Mandala pole rafiki haikuwa riziki yenu.
Nigeria anashinda mapema mkuu...hofu ondoa.Mechi ya kesho naiogopa sana, hebu ngoja niendelee kutafakari.
Japo natamani Nigeria washinde ila nafasi ni 50,50.
Kila mmoja ana eneo lake la ubora.
Kuumbe mlikoswa koswa vya kutosha eee? π ππ π π Aaah mimi highlights zinanitosha maana sio kwa koswakoswa hizoππ
Yeleuwiiii. πDah..bora jana nililewa mapema
πππππMdomo ulimponza marehemu