Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
πππKukosa ushindi wa tatu umesababisha Mkuu Charles kilian yaani kakosa kabisa hata nguvu ya kuiongelea Congo tena.
Kaamua kuhamia Nigeria. π π
KabisaππKwa jinsi li Allison lilivyokua pazia bovu lililotoboka mechi ya Aseno ile
Mara mia angedaka huyu
Hata kipa wa Majimaji FC hawezi fanya ule upuuzi wa Allison.
Sema majogoo tuna golikipa namba 2 makini sana yule dogo.
pigaaaa hayooooo ma mutu ga congoKabisa[emoji23][emoji16]
Sawaaa tukutane baadaeHapana
Leo nimekuwa straight tu
Nitashabikia Ivory coast ila bingwa ni Nigeriaπ
sema leo wenyeji watajitoa sana
anayeshinda ashinde tu ila ivory coast naona Ndio ana Nafasi kubwa ya kuwa Bigwa kuliko NigeriaMbona kama team Nigeria tupo wengi sana? Tusijepigwa na kitu kizito wajameni.
Yanii wenyeji hawachelewi kuishangaza dunia kama kawaida yao tangu walipopoponea chupuchupu hawafanyi makosaaa!!sema leo wenyeji watajitoa sana
hamasa iko juu sana japo Nigeria kuwafunga ujipange kweli kweliYanii wenyeji hawachelewi kuishangaza dunia kama kawaida yao tangu walipopoponea chupuchupu hawafanyi makosaaa!!
pole yako sana michuano yoyote ile ya mtoano ukitaka kupata quality match anza kuangalia ikianza mtoano hutojutia mechi za makundi nyingi zinakua za ajabu ajabu kama ile ya stars na Zambia ovyo tupuAfcon nimeangali mechi tatu tu.
Tanzania na Morocco.
DRC na Morocco.
Nyingine hata sikumbuki.
Yanii CIV alichowafanya watu sio poa!!Mbona kama team Nigeria tupo wengi sana? Tusijepigwa na kitu kizito wajameni.
Ivory coast anacheza kwa kujituma sanaa hii gemu ngumu leoanayeshinda ashinde tu ila ivory coast naona Ndio ana Nafasi kubwa ya kuwa Bigwa kuliko Nigeria
Na wengi watalia sana mziki wa kina Simon Adignra sio wakitoto kati pale Haller kulia Diakite kushuto Adignra kati Seri inaitwa piga ni kupigeWanigeria tupo wengi ngoja tuone leo
Na leo Shughuli ipo kweli kweli Nigeria pale nyuma na katika wapo vizuri sana Ivory coast pale mbele kwa kina Diakiate Ndio wazuri sanaIvory coast anacheza kwa kujituma sanaa hii gemu ngumu leo
Uzuri ni kwamba Mimi sipo NigeriaMbona kama team Nigeria tupo wengi sana? Tusijepigwa na kitu kizito wajameni.