Ivory coast hatoboi hii gem miaka mia TisaNatak kusema niko Nigeria leo lkn nikikumbuka Hawa wapumbavu Ivory cost walivo na bahat nabid niwe mpole tu niangalie mpr.
Leo Nigeria Anakaz Sana Pa1 yy ndo favorite lkn Hawa maboya kama bahat wanayo na wamefika final wanaanza kuamin kbs maajab yanawezekana.
Mpira unadundaIvory coast hatoboi hii gem miaka mia Tisa
anaimba madudu madudu tuAlpha blond huyu bila shaka anatumbuiza regge
Mimi naona 2027 viwanja vitajaa sana bongoleo ivory coast wametapika sana uwanjaniiii duhuuuu 2027 tupigane tufike finaili dar esaalam itapike
Living legend huyooanaimba madudu madudu tu
Ndio wa SA walivyo mara nyingi wako natural wanaume na wanawake angalia hata team zao kuanzia Orlando kaizer na Mamelody hakuna maelekezo basi tu ni utamaduni wao[emoji16]nmewakubali sana mwendo ni lowcut ikibidi kipara kabisa
Mimi naona 2027 viwanja vitajaa sana bongo
Yap wabongo tunavyopenda masherehe ukichanganya na ujio wa wageni aiseee sipati pichaHasa kiingilio kikiwa rafiki
hawana wasaniii haoooo bwana wanapiga keleee tu wasubiri balaaaa la diamond 2027 pale Kwa mkapaaaHizi Nyimbo zao vipiwanaplay background au mbona siwaelewi
hawana wasaniii haoooo bwana wanapiga keleee tu wasubiri balaaaa la diamond 2027 pale Kwa mkapaaa
wameshika maviuno tuuuu apiya apiya ndio nin bwana wameshindwa kuwaleta kina davido au wiz watu tupate BurudaniKabisa mkuu sijui ndio singeli Yao au wanakata mauno tu