Jiko Koa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 248
- 825
Utadunda kuelekea kwenye nyavu za Cote de voirMpira unadunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utadunda kuelekea kwenye nyavu za Cote de voirMpira unadunda
Utadunda kuelekea kwenye nyavu za Cote de voir
watoto wa west Africa wana black color tamu sana mamayeeee
Mkuu fainali hii jikaze bwana usisimuliwe mambo ya Sangare na KessieNimeanza kusinzia.
Unayo yaongea kua nayo makini.Ivory coast hatoboi hii gem miaka mia Tisa
wew lala tu mzee 2027 pia kutakua na fainali pale TemekeNimeanza kusinzia.
Nawakubali sana wanangu hawana ubishoo kaziniNdio wa SA walivyo mara nyingi wako natural wanaume na wanawake angalia hata team zao kuanzia Orlando kaizer na Mamelody hakuna maelekezo basi tu ni utamaduni wao
hutoboiiii wew unapenda kulala fainali hii atu juzi mechi ya Congo na ivory coast ulikata lingi mapema tu