United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
analeta Urembo tu mpira VitaOsimhen Wasije Wakamtia Red Card Bure
Wale walikua MafiaVictor osimeh angecheza enzi za kina Nemanja Vidic angepata Tabu sana
[emoji23][emoji1487]Yaani Najaribu Kuvuta Picha Dickson Job au Zimbwe ndio anakabidhiwa Chuma hicho, Anaambiwa hakikisha Hatembei.
Mkishinda nalala hapa Bar leoNigeria
kocha wa Nigeria atatucost, anamfokea mtoto wa kike kama yule haoni vibaya,
pisi kale?kocha wa Nigeria atatucost, anamfokea mtoto wa kike kama yule haoni vibaya,
Mkishinda nalala hapa Bar leo
Na Ricardo Carvalho alikua mumuni kweli kweli anakutia vidole puani afu anakataa kabisa kama sio yeyeWale walikua Mafia
Nigeria hatoboiAndaa Waiter Wa Kuendelea Kukuletea Vinywaji.
Kwanini mkuu?Victor osimeh angecheza enzi za kina Nemanja Vidic angepata Tabu sana