Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Nilikwambia mkuu.Final mda. Mwngne una cheza kwa tahadhari.
Kumbuka Hawa wana morali wako kwao na uwanja wao uwashabikia wao.
Ukitaka kujifanya na ww una presha ukapishana nao ukala chuma cha mapema utaharibu game plan.
Unawasoma unawaacha presha ipoe mkiwa mko suluhu mnavizia.
Naona ss umeona wamevizia wamepigwa.
Mpr mahesabu.