tutaongea na mama afanye mpango 2027 tukiandaa Afcon asikose.pisi kale?
akiguswa kidogo tu analalama kina Nemanja walikua wakikaba wanakaba kweli kweli afu ukitaka leta ubabe mnazichapa vizuri tuKwanini mkuu?
Nigeria wanapata goli la kuongoza hapaTanesco katika kuendeleza upuuzi wao 🚮
Nigeria hatoboi