Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Nilikwambia mkuu.Final mda. Mwngne una cheza kwa tahadhari.
Kumbuka Hawa wana morali wako kwao na uwanja wao uwashabikia wao.
Ukitaka kujifanya na ww una presha ukapishana nao ukala chuma cha mapema utaharibu game plan.
Unawasoma unawaacha presha ipoe mkiwa mko suluhu mnavizia.
Dah! nakesha hapaMwambie Waiter Hapo Akutafutie Mtoto Mmoja Safi
Ivi yule pembeni ni Mkewe? Au Shabiki tuuDrogba ana mzuka balaa 😂😂😂
Na Nigeria walivyowagumu kufungikaukishaona beki anafunga ujue Game imeisha hii
Bado mapema sanaWanetu wanaenda kulipaki vizuri sasa
[emoji23][emoji817]ukishaona beki anafunga ujue Game imeisha hii
Hata sijui kwa kweliIvi yule pembeni ni Mkewe? Au Shabiki tuu
Zama za akina Nemanja Vidic, John Terry ilihitaji straika awe na roho ya kiume kweli vinginevyo hutoboiakiguswa kidogo tu analalama kina Nemanja walikua wakikaba wanakaba kweli kweli afu ukitaka leta ubabe mnazichapa vizuri tu
Solid kwelikweliNa Nigeria walivyowagumu kufungika
PoleeTanesco katika kuendeleza upuuzi wao 🚮
Iiiggweeeeeeeeeeeeeee ✌️✌️✌️✌️Na Nigeria walivyowagumu kufungika
Tanesco hawajui kama tupo msibani Monduli?Tanesco katika kuendeleza upuuzi wao 🚮
Goli la beki huwa halirudi[emoji2]ukishaona beki anafunga ujue Game imeisha hii