Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
hujalalaaaIiiggweeeeeeeeeeeeeee [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Drogba ana mzuka balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
NakaziaGoli la beki huwa halirudi[emoji2]
Niliweka alarm nivoamka nikanawa na maji ya baridi hapa nipo gudooo🙇!hujalalaaa
Tanesco katika kuendeleza upuuzi wao [emoji706]
weeee unasemaje huoni watu wanamkaba man tu Man zubaa uoneee ndio utajuaSebastian HALLER ameisha sana sio yule wa DORTMUND
Dah! nakesha hapa
🇳🇬📌Mpira unadunda
Hawa unakaa kmy tu unaangalia msg haujib bas.Huwa Kama Wametumwa Unakuta Mechi Inaendelea Yeye Anataka Mzungumze.
Hapo Baadae Anakuuliza Kwahiyo Mpira Ni Bora Kulikoni Yeye[emoji23][emoji23][emoji23]
Drogba, Rooney, Henry, Torres, Vita ilikua ni Nzito, Unakula Kiwiko, Refa anashtukia tuu Mtu kaloa Damu, Hakuna cha VAR wala nini,Zama za akina Nemanja Vidic, John Terry ilihitaji straika awe na roho ya kiume kweli vinginevyo hutoboi
Ivory Cost wakishinda nampa
Hawa Tanesco tusaidiane kupaza sautiWe Unakaa Nchi Gani Kila Siku Kwenu?
Mkata Umeme Mmemtoroshea Mkewe Kwa Huo Mtaa.